a
Yer 44:14
;
Law 13:46
;
Mik 2:10
Lamentations 4:15
15
a
Watu wanawapigia kelele, “Ondokeni! Ninyi ni najisi!
Ondokeni! Ondokeni! Msituguse!”
Wanapokimbia na kutangatanga huku na huko,
watu miongoni mwa mataifa wanasema,
“Hawawezi kukaa hapa zaidi.”
Copyright information for
SwhNEN